tanzaniapulse link

Header pulse

 MTAFUTE HAPA NDUGU AU JAMAA MLIOPOTEZANA?

Halima Mdee Aendelea Kupatiwa Matibabu, John Heche Amjulia Hali [MamboPulse]


Mbunge wa Kawe Halima Mdee akiwa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe tumboni.

Katika picha juu ni Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche aliyefika Hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam  kumjulia hali Halima Mdee.


“Nilikuja hospitali Alhamisi saa tisa alasiri kwa ajili ya kuangalia afya yangu, ila madaktari baada ya vipimo wakabaini tumboni kuna tatizo na kunishauri nifanyiwe upasuaji haraka iwezekanavyo, nipo vizuri”, amesema Halima Mdee.

This post appeared first on Mambo Pulse
 Download
 Play

No comments

Powered by Blogger.