JPM AMTUMBUA WAZIRI KAKUNDA, AMTEUA BASHUNGWA, KAMISHNA TRA ‘AENDA NA MAJI’ [MamboPulse]
Joseph George Kakunda.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph George Kakunda na kumteua aliyekua Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Lugha Bashungwa kuchukua nafasi hiyo.
Innocent Lugha Bashungwa.
Aidha, Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Kamishan wa TRA, Charled Kichere na kumteua Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu TRA.
No comments