tanzaniapulse link

Header pulse

 MTAFUTE HAPA NDUGU AU JAMAA MLIOPOTEZANA?

MAKOCHA WAWILI SIMBA KUTUA TIMU NYINGINE LIGI KUU [MamboPulse]


Imeripiwa kuwa uongzi wa labu ya KMC ya Kinondoni, Dar  es Salam ambayo itacheza michuano ya Kombe la shirikisho Afrika msimu ujao imeanza mazungumzo na kocha wa zamani wa klabu ya Simba, Masoud Djuma.

KMC imeanza mazungumzo hayo ili kumsajili awe Kocha Mkuu wa klabu hiyo.'

Pia KMC wanataka kumwajiri Seleman Matola wa Lipuli FC kama Msaidizi kwa ajili ya kukiandaa kikosi chao tayari kwa msimu ujao wa ligi na mashindano ya kimataifa.

Endapo Masoud Djuma atarejea nchini itakuwa ni mara yake ya pili ikiwa ni baada ya kuondoka Simba kufuatia maelewano ya kuvunja mkataba wake baada ya kutokea sintofahamu ya maelewano baina yake na Kocha Patrick Aussems.




This post appeared first on Mambo Pulse
 Download
 Play

No comments

Powered by Blogger.