tanzaniapulse link

Header pulse

 MTAFUTE HAPA NDUGU AU JAMAA MLIOPOTEZANA?

Malaika Ataka Watu Wapendwe Wakiwa Hai [NimasikaForum]

Sexy lady kunako Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema kuwa ni muhimu kumpenda mtu akiwa hai, lakini akifa ukasema unampenda, huko ni kumkosea. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Malaika alisema amejifunza vingi mno kwenye maisha hivyo hakuna sababu ya kuwa na visasi wala vinyongo maana hapa duniani watu wanapita

tu.Napenda sana mtu aniambie ananipenda nikiwa ninamuona na mimi nimjibu, lakini siyo siku sipo duniani kila mmoja anajifanya ananipenda, hiyo siyo sawa, tuthaminiane  ukiwa na nguvu zetu,” alisema Malaika
This post appeared first on Nimasika Forum
 Download
 Play

No comments

Powered by Blogger.