tanzaniapulse link

Header pulse

 MTAFUTE HAPA NDUGU AU JAMAA MLIOPOTEZANA?

Mamia ya Wananchi wa Zanzibar Washiriki Katika Maziko ya DCP wa Jeshi la Polisi Tanzania Marehemu Azizi Juma Mohammed [MamboPulse]

DCP wa Jeshi la Polisi Tanzania G.Y.Kamwela akisoma wasifu wa Marehemu DCP Azizi Juma Mohammed, wakati wa hafla hiyo ya maziko iliofanyika katika makaburi ya mwanakwerekwe Wilaya Magharibi B Unguja, yaliofanyika jana 9-6-2019. Na kuhudhuria na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. kushoto Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Yussuf Masauni na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed. 



Download












This post appeared first on Mambo Pulse
 Download
 Play

No comments

Powered by Blogger.