marufuku ya matumizi mifuko ya Plastiki yaibua fursa mpya kwa Watanzania [MamboPulse]
Mmoja wa Wachuuzi wa bidhaa kando kando ya barabara ya Bagamoyo akiuza vikapu vyake leo jioni kwa bei ya shilingi 6000/= mpaka 10,000/=.Vikapu hivyo vimekuwa vikipata soko siku hadi siku kufuatia katazo la Serikali la matumizi ya mifuko ya Plastiki,Wananchi wamekubali na kuitikia wito wa kuhakikisha matumizi ya mifuko ya Plastiki inakoma kutumika ikiwa ni sehemu ya kulinda mazingira.





No comments