Mazungumzo ya Whatsapp Neymar, Najila yawekwa hadharani [NimasikaForum]
![]() |
Najila Trindade |
Mazungumzo ya whatsapp baina ya nyota wa soka Neymar na mwanadada Najila Trindade yamewekwa hadharani na kiuto cha runinga cha Brazil cha Globo.
Neymar anatuhumiwa kumbaka mwanadada huyo waliyefahamiana naye jijini Paris Mei mwaka huu. Hata hivyo baada ya mazungumzo hayo kuwekwa hadharani Najila aliandika katika akauti yake ya Instagram kwa njia ya video na picha kuwa mbona nyota huyo hajaweka mazungumzo yote baina yao.
“Mbona hujaonyesha mazungumzo yote,” ujumbe ulisomeka hivyo kwenda kwa Neymar.
“Mbona hujaonyesha mazungumzo yote,” ujumbe ulisomeka hivyo kwenda kwa Neymar.
![]() |
Neymar Jr. |
No comments