tanzaniapulse link

Header pulse

 MTAFUTE HAPA NDUGU AU JAMAA MLIOPOTEZANA?

MWAKALEBELA AFUNGUKA JUU YA HATMA YA MCHEZAJI AJIBU NA YANGA [MamboPulse]


Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema mshambuliaji na Nahodha wa klabu hiyo Ibrahim Ajibu bado hajasaini mkataba mpya.

Mwakalebela ameeleza kuwa mpaka sasa mazungumzo ya kuongeza mkataba kati ya Ajibu na Yanga yanaendelea.

Amefunguka kwa kusema hawezi kuliongelea sana suala hilo ila akiwajulisha wanayanga kuwa mazungumzo yanaenda vema.

Tayari Ajibu ameshamaliza mkataba na mabingwa hao wa kihistoria huku ikitajwa kuwa mchezaji huyo anahitajika Simba.

"Kuhusu Ajibu bado tuna mazungumzo naye ya kuongeza mkataba mpya.

"Mpaka sasa hajasaini, tunaendelea kuzungumza."


This post appeared first on Mambo Pulse
 Download
 Play

No comments

Powered by Blogger.