Nyota Yako Leo Jumatatu 10 Jun 2019 [MamboPulse]
NYOTA YAKO LEO JUMATATU 10/JUNI/2019:
🔯MAPACHA- (May 22– Juni 21)
Utaota ndoto itakayokushangaza hili ni tukio la kweli litakalotokea linalohusu kugombana na mtu usiyemtarajia uwe mwenye uvumilivu na usiyeyumbishwa.
🔯KAA– (Juni 22– Julai 23)
Unajisikiaje kuonekana mbele ya watu? unatambua kwamba una kariba ya kusema na kusikilizwa sasa kwa nini unajiweka chini hebu waeleze watu hata watatu tu juu ya Jambo unalolihitaji utashangaa litakavyofanikiwa.
🔯SIMBA LEO- (Julai 24– Agosti 23)
Mambo mengi yaliyojifunga hakuna aliyesababisha ila ni wewe unayesahau viapo na ahadi muhimu za maisha haya ni maisha mengine kwako amka ili upige hatuwa mbele siku za JUMAPILI na JUMANNE zitakushangaza.
🔯MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Kuna kila dalili ya kufikiwa na mzozo utakaoshuhudia ukatili au kusikitishwa na Jambo fulani usitumie muda wako mwingi kufanya shughuli za hisani wiki hii.
🔯 MIZANI- (Septemba 24– Oktoba 23)
Moyo wako wa huruma sasa utalipwa utajikuta ukisaidiwa Jambo usilotarajia hii ni busara yako au ya familia au mtu aliyekuzidi kwa umri fanya jitihada ukumbuke hata waliotangulia mbele ya haki au waliowahi kukutendea jema.
🔯NG'E- (Oktoba 24– Novemba 22)
Wenye nyota hii wiki hii itakuwa ni yenye kumbukumbu kwao watakutana na watu waliopoteana au kukumbushwa mengi yaliyopita pia watakuwa na mafanikio Kama wakipanga Jambo la kuendelea.
🔯MSHALE- (Novemba 23– Desemba 21)
Utakabiliwa na mtikisiko katika sehemu yako ya kupata tiziki hata hivyo Kuna dalili ya kupata ahueni kutokana na matarajio yako kufanikiwa utulivu utakusaidia kujua mengi ya kukuweka huru.
🔯☮️MBUZI- (Desemba 22– January 20)
Umekuwa na tabia ya kiutomaloiza mambo yako unaanza na kuishia Kati kipindi hiki Kama utaanza Jambo litafikia mwisho dalili za kupata heshima na kuwa mshauri wa Mambo muhimu zinakuja.
🔯NDOO- (January 21– February 19)
Bado Kuna aina ya aibu inayokufuatilia epuka kujiepusha na Jambo lolote linalohusiana na mahusiano mapya hasa Endapo yapo karibu na nyumbani au kazini utaumbuka.
🔯SAMAKI– (February 20– March 20)
Ulilopanga litafanikiwa kwa kiasi kikubwa tatizo bado utaingia kwenye mgogoro utakaosababisha wewe kutotimiza wajibu fulani muhimu jijengee tabia ya ukweli wiki hii na kugawa stahiki Kama inavyotakiwa.
🔯PUNDA- (March 21- April 20)
Ni wiki itakayokukutanisha na watu wengi katika Jambo lisilokua na furaha nawe utahitajika kutoa mchango wako uwe makini hapo maana kutakuwa na mtego unaokusubiri hali ya kifedha itakuwa nzuri.
🔯NG'OMBE- (April 21– May 21)
Huu ni wakati wako wa kusikilizwa Sana utumie vizuri kuomba au kutafuta Jambo zito linalokusumbua siku zote ahadi utakazopewa wiki hii asilimia kubwa zitafanikiwa moyo wako utakuwa mzito kufanya Jambo lolote.
SHEIKHE ISAYA MWENYE UWEZO WA KUFANYA DUA na visomo atakusaidia katika mambo yafatayo, kusafisha nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku ingia katika pager ya Facebook >>tumaini tiba asili <<au fika ofisini magomeni msikiti wa kiyungi simu au whatsapp +255745495181 au 0682644040
This post appeared first on Mambo Pulse

No comments