tanzaniapulse link

Header pulse

 MTAFUTE HAPA NDUGU AU JAMAA MLIOPOTEZANA?

TBL YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI 2019 KWA VITENDO [MamboPulse]

Wafanyakazi wa TBL kiwanda cha Arusha wakishiriki kupanda miti katika eneo la Themi, Arusha
Download

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL kiwanda cha Arusha wakiwa na bango lenye ujumbe wa utunzaji wa mazingira baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti zaidi ya 1,000 katika eneo la chanzo cha maji kilichopo Mtaa wa Kambarage,Kata ya Themi katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani 2019.

Download

Baadhi ya kiwanda cha Konyagi kilichopo chini ya TBL Group wakiwa na mabango yenye ujumbe wa utunzaji wa mazingira baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti na kusafisha mazingira


This post appeared first on Mambo Pulse
 Download
 Play

No comments

Powered by Blogger.