tanzaniapulse link

Header pulse

 MTAFUTE HAPA NDUGU AU JAMAA MLIOPOTEZANA?

Ureno yatwaa Ubingwa wa UEFA National League [MamboPulse]

Timu ya taifa ya Ureno wamekuwa mabingwa mara mbili kwenye mashindano ya UEFA National League mara baada ya kuifunga goli 1-0 Uholanzi kwenye mchezo wa Fainali.

Ureno wamekuwa mabingwa mara mbili katika mashindano manne yaliyopita waliyoshiriki.
1 : EURO 2016.
2 : EURO NATIONAS LEAGUE.


This post appeared first on Mambo Pulse
 Download
 Play

No comments

Powered by Blogger.