tanzaniapulse link

Header pulse

 MTAFUTE HAPA NDUGU AU JAMAA MLIOPOTEZANA?

MEDDIE KAGERE ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA [NimasikaForum]


Meddie Kagere amechaguliwa na kamati ya Tuzo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutwaa tuzo ya mchezaji bora kwa mwezi Mei.

Kagere ametwaa tuzo hiyo akiwashinda wachezaji wenzake wawili aliofika nao fainali ambao ni Bigirimana Blaise mshambuliaji anayekipiga Alliance FC na Tariq Kiakala wa Biashara United.



This post appeared first on Nimasika Forum
 Download
 Play

No comments

Powered by Blogger.