tanzaniapulse link

Header pulse

 MTAFUTE HAPA NDUGU AU JAMAA MLIOPOTEZANA?

NDAYIRAGIJE WA KMC AMPOTEZA MBELGIJI WA SIMBA [NimasikaForum]


KOCHA Mkuu wa KMC, Ettiene Ndayiragije amebeba tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu Bara  kwa mwezi Mei.

Ndayiragije ameongoza kikosi chake cha KMC kumaliza ligi kikiwa ndani ya nne bora baada ya kucheza michezo 38 licha ya kupanda ligi msimu wa mwaka 2018/19.

Kocha huyo amewashinda makocha wawili ambao ni Patrick Aussems wa Simba na Malale Hamsini kocha wa Alliance FC.




This post appeared first on Nimasika Forum
 Download
 Play

No comments

Powered by Blogger.