TUNDURU WAENDESHA KAMPENI YA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA NGOZI NA UKOMA KWA VIJIJI VYA MPAKANI VINAVYOPAKANA NA MSUMBIJI [NimasikaForum]
Mmoja ya vingozi wa kijiji cha Mbati akihamasisha wananchi wa kijiji hicho kupima magonjwa ya ngozi na Ukoma kabla ya kuanza uchunguzi wa ugonjwa huo jana ulioongozwa na Mratibu wa kifua kikuu na Ukoma Hospitali ya wilaya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole.
Baadhi ya wananachi wa kijiji cha Mbati kata ya Mbati wilaya ya Tunduru mkoa wa Ruvuma wakisubiri kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya ngozi na Ukoma wakati wa zoezi la uchunguzi wa magonjwa hayo kwa wananchi wa vijiji vilivyopo mpakani na Nchi jirani ya Msumbiji kampeni inayoongozwa na Mratibu wa kifua kikuu na Ukoma Hospitali ya wilaya ya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole.

Mratibu wa kifua Kikuu Ukoma wa Hospitali ya wilaya ya Tunduru Dkt Mkasange Kihongoleakiongea wananchi wanaoishi vijiji vilivyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbuji hasa baada ya kubainika kuwa wananchi wa maeneo hayo wameathirika kwa kiwango kikubwa na ukoma.
Mratibu wa kifua Kikuu Ukoma wa Hospitali ya wilaya ya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole akimchunguza magonjwa ya ngozi mkazi wa kijiji cha Mbati wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Mohamed Musa wakati wa zoezi la uchunguzi wa magonjwa ya ngozi na Ukoma kwa wananchi wanaoishi vijiji vilivyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbuji hasa baada ya kubainika kuwa wananchi wa maeneo hayo wameathirika kwa kiwango kikubwa na ukoma.

No comments